Home Kimataifa CLEVELAND CAVS YAICHAPA MIAMI HEAT

CLEVELAND CAVS YAICHAPA MIAMI HEAT

493
0
SHARE

mia

James alifunga 29 pointi wakati Kwvin Love aliongeza 24 kwa 14 rebounds na Cavaliers Cleveland ikashinda mchezo wake wa kwanza wa nyumbani, 102-92. Dwyane Wade aliiongoza Miami akifunga point 25 huku Chris Bosh alifunga 16.

 

” Kevin Love ni muhimu na atakuwa kitovu cha mafanikio msimu huu, ” James alisema. “Tunataka kupata kila kilichokuwa bora kutoka kwa kevin msimu huu. Alionyesha tena usiku wa leo kwa nini yeye ni mmoja wa Power Fowards bora kwa sasa katika ligii hii.

James, ambaye alisema Ijumaa alipanga kucheza katika michezo yote 82 msimu huu, hakuonyesha dalili za matatizo ya mgongo amabyo yalimfanya akose kambi ya maandalizi ya timu yake. Alikuwa na rebounds tano na pasi nne katika dakika 34 .

 

 

HIGHLIGHTS

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here