Home Dauda TV VIDEO: KLOPP APATA USHINDI WA KWANZA LIVERPOOL

VIDEO: KLOPP APATA USHINDI WA KWANZA LIVERPOOL

500
0
SHARE

KloppJurgen Klopp ‘JK’ amepata ushindi wa kwanza akiwa na klabu ya Liverpool baada ya kuiongoza timu hiyo kuifunga timu ya Bournemouth kwa bao 1-0 kwenye mchezo wa Capital One Cup uliochezwa kwenye uwanja wa Anfield ambao ni uwanja wa nyumbani wa timu ya Liverpool.

Nathaniel Clyne aliipa Liverpool ushindi huo wa kwanza tangu kuondoka kwa kwa kocha Brendan Rodgers na nafasi yake kuchukuliwa na Klopp.

Angalia video hapa chini jinsi Clyne alivyofunga goli hilo….

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here