Home Dauda TV VIDEO: ANGALIA GOLI LA HAMISI KIIZA DHIDI YA COASTAL UNION

VIDEO: ANGALIA GOLI LA HAMISI KIIZA DHIDI YA COASTAL UNION

1943
0
SHARE
Hamisi Kiiza (katikati) akipongezwa na wachezaji wenzake wa Simba baada kufunga goli dhidi ya Coastal Union

Hamis Kiiza ‘Diego’ aliifungia Simba bao pekee kwenye ushindi wa Simba wa goli 1-0 dhidi ya Coasta Union mchezo wa ligi kuu Tanzania bara uliochezwa kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam October 28, 2015.

Mchezo huo ulikuwa ni wa kwanza kwa Kiiza tangu apate majeraha yaliyomfanya akose mechi tatu mfululizo. Goli hilo limemfanya Kiiza kufikisha jumla ya magoli sita kwenye ligi msimu wa 2015-2016 akiichezea Simba.

Ushindi huo umeifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 18 na kushika nafasi ya nne kwenye msimamo wa ligi baada ya kucheza michezo nane.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here