Home Kimataifa MCCOLLUM AFUNGA 37, BLAZERS IKIIKATA PELICANS

MCCOLLUM AFUNGA 37, BLAZERS IKIIKATA PELICANS

412
0
SHARE
McCollum akifunga point 3 mbele ya Anthony Davis
McCollum akifunga point 3 mbele ya Anthony Davis
McCollum akifunga point 3 mbele ya Anthony Davis

McCollum alifunga pointi 37, nyingi zaidi katika historia yake ya maisha ya kikapu,  ikiwa ni pamoja na pointi 3 sita. Huku ikiwa ni Portland Trail Blazers  yenye muonekano na sura mpya  imefungua msimu na ushindi 112-94 dhidi ya New Orleans Pelicans alfajiri ya leo.

Ilikuwa ushindi wa 15 mfululizo kwa Portland kama wakiwa nyumbani siku ya ufunguzi, kupita rekodi Boston ya 14 ( 1979-1992 .

Ninajisikia faraja sana, ni  kama mnyama aliyefungiwa anavyokuwa tayari kuachiwa , ” McCollum alisema kwa tabasamu . ” Kikapu inaendelea ukomavu na kubwa zaidi na wewe kuendelea kupata ujasiri .

McCollum hakupata dakika nyingi msimu uliopita na ilimbidi kusubiri mpaka wachezaji kadhaaa walivyoondoka katika maandalizi ya msimu huu.

Damian Lillard, mchezaji wa Portland pekee aliyekuwa anaanza  kutoka msimu uliopita, alikuwa na pointi 21 na pasi 11 . Blazers ni  ya tatu kwa wastani  mdogo wa umri kwa timu katika NBA msimu huu.

Anthony Davis alikuwa na pointi 25 na 10 rebounds kwa Pelicans , ambao walipoteza 111-95 kwa Golden State Warriors katika mechi yao ya ufunguzi, siku ya jumanne.

HIGHLIGHTS

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here