Home Kimataifa DALLAS YAFANYA KWELI DHIDI YA SUNS

DALLAS YAFANYA KWELI DHIDI YA SUNS

473
0
SHARE

VC

Ilikuwa ni juhudi kubwa kama timu kwa pamoja, ” kocha wa Dallas Mavericks  Rick Carlisle alisema. ” Tulikuwa nawachezaji nane wote wakifunga pointi zenye tarakimu  mbili , ambayo ni inakwenda kuwa moja ya silaha yetu kwa sababu tulipata na tunahitaji kuwa na uwiano mzuri kiuchezaji.

Raymond Felton alifunga pointi 18 akiongoza wachezaji nane wengine wa Dallas katika tarakimu mbili mbili za pointi kila mmoja,  Mavericks ikiwavurumisha Phoenix Suns 111-95  siku ya Jumatano usiku.

Dirk Nowitzki , katika msimu wake wa  17 kwenye  NBA, alifunga 9  kati ya pointi zake 11 katika robo ya tatu wakati Mavericks ikijijengea faida ya  jumla ya pointi  27 dhidi ya Suns.

Phoenix  suns hawakuweza kuzipunguza zaidi ya 14 mpaka mchezo unamalizika. Deron Williams na Dwight Powell pia walifunga 12 kila moja kwa Mavericks Dallas.

Mchezaji aliyekuwa katika msimu wake wa kwanza  Devin Booker alifunga pointi 14 ikiwa ni katika mitupo 6 kati ya 7 aliyojaribu  kwa Suns, pointi zote zikiwa kipindi cha pili.  Brandon Knight alikuwa na pointi 15, Jon Leuer 14 na Eric Bledsoe 13 kwa Phoenix.

HIGHLIGHTS

 

 

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here