Home Kimataifa INAKUAJE SASA….SERGIO RAMOS AMEKUWA MLINZI WA SUPERMARKET?

INAKUAJE SASA….SERGIO RAMOS AMEKUWA MLINZI WA SUPERMARKET?

688
0
SHARE

2DE086B800000578-0-image-a-58_1446045194187

Sergio Ramos mchezaji wa Real Madrid ali-trend kwenye twitter kutokana na picha iliyosambaa ikimuonyesha mtu ambae anafanana kabisa na Ramos akiwa kwenye lindo ndani ya Super market maarufu huko Hispania “Mercadona”.

Shabiki mmoja ndio alipiga picha ya mlinzi ambae anafanana sana na Ramos na kuipeleka twitter. Baada ya hapo ikaanza kusambaa na kila mtu akim-tag Sergio Ramos.

Baada ya kumfikia Sergio, hakukaa kimya na akajibu kwa utani kwamba anatoa taarifa rasmi kwamba yeye hajasajiliwa na Mercadona.

2DE0AF1F00000578-0-image-a-61_1446046636499

Embu zicheki hizi picha mbili moja ya Ramos na nyingine ni ya mlinzi huyo. Unadhani wana fanana?

zdfgfdhd

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here