Home Kimataifa LUIS SUAREZ AMTAJA BEKI ANAYEMPA TABU SANA UWANJANI

LUIS SUAREZ AMTAJA BEKI ANAYEMPA TABU SANA UWANJANI

559
0
SHARE

dasfs

Luis Suarez ni mshambuliaji hatari sana na mara nyingi amekua akifunga magoli muhimu kuisadia club yake ya Barcelona. Mshambuliaji yoyote lazima ampite beki ndio afike golini kutupia.

Sasa akiwa kwenye interview na gazeti moja huko Catalunya linaitwa Mundo Deprtivo alimtaja Sergio Ramos kama beki anayemsumbua sana.

“Yeye ni mmoja kati ya mabek wagumu niliwai kukutana nao. Ana nguvu na anakupa changamoto kubwa uwanjani na uzoefu mkubwa. Moja kati ya sababu kubwa ninazofurahia ni kufunga goli dhidi yake kwenye mechi ndani ya Camp Nou. Lakini kati ya mabeki wote niliokutana nao yeye ni mgumu sana”

111

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here