Home Kimataifa JE, UNAWEZA KUNAMBIA MARAIS WANGAPI WA NCHI WANAWEZA KUCHAMBUA MICHEZO KAMA OBAMA,...

JE, UNAWEZA KUNAMBIA MARAIS WANGAPI WA NCHI WANAWEZA KUCHAMBUA MICHEZO KAMA OBAMA, NJOO UMTIZAME

643
0
SHARE

Katika kuonyesha namna gani kuwa si tu kwamba anapenda michezo hasa mpira wa kikapu lakini pia ni mnazi wa klabu ya Chicago Bulls, Rais wa nchi ya Marekani Barack Obama, alfajiri ya leo alikuwepo katika mchezo wa ufunguzi wa klabu hiyo ambapo alipata pia kuzungumza na ripota wa TNT David Aldridge na kutoa uchambuzi wake mfupi ambao ni nadra ama huwezi kuusiki kutoka kwa mchambuzi wa kawaida.

Obama alizungumzia uwezo kiujumla wa Chicago Bulls, namna wanavyoweza kufanya vyema na pia ni kwa namna gani anawatizama wachezaji wengine na vilabu vyao kwa ujumla. Chicago bulls nao hawakumuangusha kwani walipata ushindi wao wa kwanza wa vikapu 95-97. tizama vieo chini

PICHA MBALIMBALI ZA OBAMA KWENYE MCHEZO HUO

OBBTE OBBTI OBBT OBBI OBB OB

OBAMA AKICHAMBUA

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here