Home Kimataifa MANCHESTER UNITED WANAJIPANGA KUTOA OFA KWA MCHEZAJI HUYU WA BRAZIL

MANCHESTER UNITED WANAJIPANGA KUTOA OFA KWA MCHEZAJI HUYU WA BRAZIL

580
1
SHARE

man

January inakaribi na club mbalimbali zina nafasi ya kufanya usajili ili kuimalisha vikosi vyao. Habari zilizotoka kwenye Gazzetta dello Sport la Italy, inasema kwamba Manchester wanajipanga kutoa ofa ya kumsajili midfielder Felipe Anderson raia wa Brazil.

Inasemakana kwamba Van Gaal aliwai kutoa ofa ya £28m kwa ajili ya mchezaji huyo lakini ilikataliwa. Sasa hivi amejipanga tena kumsajili mchezaji huyo wa Lazio.

Sio Manchester peke yao wenye interest ya kumsajili mchezaji huyo, lakini pia Bayern Munich na PSG nao pia wanataka kumsajili mchezaji huyu. Ikiwa club yoyote itataka kumsajili lazima wakutane na kikwazo cha pesa ya kumtoa Lazio kutokana na mkataba mpya. Kiasi hicho ni £56m.

gettyimages-466522356

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here