Home Kimataifa JE, TUTANAKARIBIA KUONA KANISA LA KUMUABUDU KING ZLATAN IBRAHIMOVIC

JE, TUTANAKARIBIA KUONA KANISA LA KUMUABUDU KING ZLATAN IBRAHIMOVIC

501
0
SHARE

zlatan

Moja ya swali ambalo Zlatan aliwai kuulizwa kwenye PSG Tv lilikua ni kwamba anatamani kuwa na Super power za Character gani. Watu walitegemea jibu lingekua labda superman au spiderman lakini Zlatan akasema hatamani zozote yeye mwenyewe na uwezo wake wa kucheza mpira anadhani ni Super power tosha.

Hicho ni kitu kimojawapo kinachomfanya Zlatan kuwa na mashabiki wengi na wengine wanamuita King Zlatan. Sasa habari mpya ni kwamba Zlatan amenunua sehemu moja ambayo zamani ilikua inatumika kama kanisa.

Sasa story ambayo mashabiki wake wanashabikia sana eti Zlatan anataka kufungua kanisa lake ambalo yeye ndio atakua anaabudiwa King Zlatan.

Japokua yeye hajazungumza chochote, wachambuzi wa mambo wanasema kwamba sehemu hiyo aliyonunua huko kwao Sweden ni kwa ajili ya mipango yake baada ya kumaliza soka.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here