Home Kimataifa FLOYD MAYWEATHER AMETUMIA $3,498,000 MARA MOJA KWA STYLE HII

FLOYD MAYWEATHER AMETUMIA $3,498,000 MARA MOJA KWA STYLE HII

494
0
SHARE

floyd1
Kuna tetesi zimesambaa kwamba Mayweather anaweza kurudi kwenye ulingo na kupiga pambano lake la 50. Lakini story hiyo imeisha rasmi baada ya manager wake ku-tweet kwamba Mayweather amesha staff na hatacheza tena kwenye pambano lolote.

2DD296C100000578-3291023-Ellerbe_took_to_Twitter_on_Monday_night_to_confirm_Mayweather_wo-a-5_1445910683984

Wakati huo huo bondio huyu ameendelea kutumia vizuri pesa zake kwenye vitu anavyovipenda ambavyo ni magari. Hivi sasa ametumia kiasi $3,498,000 kununua gari jipya aina ya Bugatti Veyron Grand Sport.

Bado Floyd anaendelea kuishi maisha ya hali ya juu kwa kutumia pesa nyingi kwa kiasi kikubwa. Moja ya style zake za kutumia pesa ni kusafiri bila mzigo wowote zaidi ya begi la pesa kwenye ndege yake binafsi. Akifika huko anapoenda ndio ananunua mahitaji yake.

2DD19CD500000578-0-image-a-2_1445909853414

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here