Home Kimataifa PICHA: ANGALIA MA-STAR WALIOHUDHURIA BIRTHDAY YA WAYNE ROONEY AKITIMIZA MIAKA 30

PICHA: ANGALIA MA-STAR WALIOHUDHURIA BIRTHDAY YA WAYNE ROONEY AKITIMIZA MIAKA 30

573
0
SHARE
Straika wa Manchester United akiwasili kwenye hotel ya Hilton tayari kwa birthday party

Nahodha wa Manchester United na timu ya taifa ya England amesherehekea siku yake ya kuzaliwa kwa kutimiza miaka 30 lakini hakuonekana mwenye furaha na hiyo inatokana na kutofanya vizuri kwenye mchezo wa Manchester Derby uliomalizika kwa sare ya bila kufungana.

Party hiyo imefanyika kwenye Hotel ya Hilton, Liverpool na kuhudhuriwa na ma-star kadhaa ambao anacheza nao na ambao aliwahi kucheza nao kwenye kikosi cha Manchester United kwa nyakati tofauti.

Bastian Schweinsteiger akiwasili na mpenzi wake Ana Ivanovic (kushoto)

Ma-Star mbalimbali wakiwasili kwenye hotel ambayo ilifanyika birthday party ya Wayne Rooney

Kiungo wa Man United Bastian Schweinsteiger akisaini vitabu vya kumbukumbu vya mashabiki kabla ya kuingia Hilton Hotel

Winga wa United Ashley Youn akiwasili Hilton Hotel akiwa na mkewake Nicky

Mkali wa West Brom Evance akiwasili kwenye birthday ya Rooney, Evance pia alishawahi kucheza na Wayne Rooney wakati alipokuwa Man United

Mchezaji wa United Phil Jones (kushoto) na Star wa Sunderland Wes Brown (kulia) ambaye alishawahi kucheza na Rooney akiwa United akiwasili kwenye Hotel ya Hilton

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here