Home Kimataifa BAADA YA KIFO CHA FLIP SAUNDERS HIZI NI TWEET ZA RAMBI RAMBI

BAADA YA KIFO CHA FLIP SAUNDERS HIZI NI TWEET ZA RAMBI RAMBI

673
0
SHARE

SDFDSF

Kutokana na kuondokewa na moja ya watu mashuhuri wa mchezo wa kikapu ambaye alikuwa ni kocha na Rais wa Minnesota Timberwolves Flip Saunders, wadau mbalimbali wameendelea kutoa salamu za pole na Rambi rambi kwa Kocha huyo, nasi tunazileta kwako hapa.

Wachezaji kama Isiah Thomas, Chauncey Billups, Lebron James, John Wall, Kyrie Irving, Jared Sullinger na wengine wengi wameendelea kuwa mstari wa mbele kutoa salamu za pole na rabirambi kwa kocha huyo. REST IN PEACE FLIP SAUNDERS

T4

T3 T2 T1

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here