Home Dauda TV VIDEO: ANGALIA MAGOLI LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SULUHU NA SOUTHAMPTON

VIDEO: ANGALIA MAGOLI LIVERPOOL IKILAZIMISHWA SULUHU NA SOUTHAMPTON

473
0
SHARE

Liverpool vs Southampton

Liverpool wakiwa nyumbani Unfield chini ya kocha wao mpya Jurgen Klopp wamelazimishwa sare ya tatu mfululizo dhidi ya Southampton tangu Klopp achukue majukumu ya kukinoa kikosi cha hicho.

Christian Benteke akiingia kutokea benchi aliifungia Liverpool goli la kuongoza dakika ya 79 lakini Sadio Mane akasawazisha goli hilo dakika ya 86 lakini akapewa kadi nyekundu wakati wa dakika za nyongeza.

Kikosi cha Liverpool: Mignolet, Clyne, Skrtel, Sakho, Moreno, Milner, Lucas, Can, Lallana (Firmino 67’), Coutinho (Ibe 83’), Origi (Benteke 45’)

Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Toure, Allen, Bogdan, Randall.

Mfungaji wa goli: Benteke 77

Kadi ya njano: Milner 

Kikosi cha Southampton: Stekelenburg, Cedric Soares, Fonte, van Dijk, Bertrand, Clasie (Juanmi 76’), Wanyama, Steven Davis (Ramirez 80’), Mane, Tadic (Ward-Prowse 64’), Pelle.

Wachezaji wa akiba ambao hawakucheza: Kelvin Davis, Yoshida, Romeu, Caulker.

Mfungaji wa goli: Mane 86 

Kadi ya njano: Mane 

Kadi nyekundu: Mane  

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here