Home Kimataifa LIGI YA NBA KUANZA HIVI…JE, GOLDEN STATE WATATETEA UBINGWA

LIGI YA NBA KUANZA HIVI…JE, GOLDEN STATE WATATETEA UBINGWA

613
0
SHARE

ratia

Na Nicasius N Agwanda  ( Nicasius Coutinho Suso)

Ligi kuu ya kikapu nchini Marekani NBA, inaingia katika msimu wake wa 13 ambao utaanza kuanzia tarehe 27 mwezi huu siku ya jumatano. Na mchezo wa mapema au wa ufunguzi msimu huu utafanyika katika uwanja wa United Center ambao ni uwanja wa nyumbani wa kalbu ya Chicago Bulls ambayo itawakaribisha Cleveland Cavaliers kwa upande wa kanda ya mashariki. Ikifuatiwa na mchezo wa kanda ya magharibi utakaozihusisha Golden state Wariors ambao ni mabingwa watetezi dhidi ya New Orleans Pelicans.

rad

Ikumbukwe vilabu viwili vya Cleveland Cavaliers na Golden State Warriors ndivyo vilivyofika fainali ya msimu uliomalizika na Golden State kushinda ubingwa huo huku vikiwa na wachezaji wanaoaminika kuwa ndio bora zaidi kwa sasa, yaani Lebron James wa Cleveland Cavaliers na Stephen Curry ambaye pia ndiye aliyeshinda tuzo ya mchezaji mwenye thamani zaidi katika NBA, wa Golden State Warriors.

Ratiba kamili ya siku hiyo.

dzzfgd

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here