Home Kimataifa BAYERN INATAFUTA USHINDI WA 1000 KWENYE MECHI YA KESHO.

BAYERN INATAFUTA USHINDI WA 1000 KWENYE MECHI YA KESHO.

474
0
SHARE

vidal

Baada ya kufungwa na Arsenal kwenye UEFA, Bayern Munich inatafuta ushindi wa 1000 kwenye mechi walizowai kucheza kwenye ligi ya Bundesliga.

Bayern wanategemea kuandika historia hiyo kwenye mechi dhidi ya Cologne siku ya Jumamosi. Hadi sasa Bayern wameshinda mechi zote za Bundesliga ikiwemo ya kuifunga Borussia ambao ndio wapinzani wao wakubwa kwenye mbio za ubingwa.

Bayern wameshaandika rekodi ya kwenye msimu huu kwa kuwa timu ya kwanza ambayo imeshinda michezo yake 9 kwenye ligi. Sasa watafanikiwa kuendeleza rekodi hiyo kwa kushinda mechi ya 10 na kuweka rekodi mpya ya kufikisha idadi ya ushindi wa mechi 1000. Kesho kwenye Startimes kila kitu kitawekwa wazi kwenye mida ya saa 10:30 ambapo FC Cologne ndio itakua timu pinzani.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here