Home Dauda TV VIDEO: BARCELONA YATHIBITISHA IPO VIZURI BILA MESSI, KAMA HUKUIONA MECHI ANGANGALIA MAGOLI...

VIDEO: BARCELONA YATHIBITISHA IPO VIZURI BILA MESSI, KAMA HUKUIONA MECHI ANGANGALIA MAGOLI YOTE HAPA

747
0
SHARE

Rakitic

Soka sadi wanaloonyesha Barcelona unaweza kuona kila weekend kwenye La Liga ambapo wakiwa na mastaa wao huwa wanapiga soka safi sana.  Azam TV ndio pekee inayoweza kukuonyesha La Liga Live kupitia Azam Sports HD

Mabingwa watetei wa klabu bingwa Ulaya na mabingwa wa Hispania FC Barcelona wamefanikiwa kushinda 2-0 mchezo wao wa klabu bingwa Ulaya wakiwa ugenini dhidi ya BATE Borisov.

Magoli yote ya Barcelona yamefungwa na Ivan Rakitic. Goli la kwanza limefungwa dakika ya 48 baada ya Rakitic kupokea pasi kutoka kwa Neymar uku goli la pili pia likiungwa kwa msaada wa Neymar.

Barcelona ndio wanakaa kileleni mwa kundi E wakiwa na alama saba baada ya kucheza michezo mitatu wakifuatiwa na Liverkusen wenye pointi nne wakati BATE wapo nafasi ya tatu wakiwa na pointi tatu huku Roma wakiburuza mkia kwa pointi zao mbili.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here