Home Dauda TV VIDEO: HAWA NDIO WANATABIRIWA KUWA WARITHI MESSI NA NEYMAR BARCELONA

VIDEO: HAWA NDIO WANATABIRIWA KUWA WARITHI MESSI NA NEYMAR BARCELONA

722
0
SHARE

Messi & Neymar

Ukiwa unaendelea kuangalia vipaji vya sasa ambavyo vimepitia La Masia Academy kama Lionell Messi na wengine kupitia Azam TV ambayo inaonyesha live La Liga, hawa hapa ni madogo ambao wapo kwenye kituo hicho kwa sasa.

Timu ya Barcelona imesheheni vipaji kuanzia timu ya wakubwa hadi kwenye kituo chao cha kulelea watoto wenye vipaji vya soka (La Masia Academy) ambapo kuna watoto wengi wenye vipaji vya juu katika kutandaza soka wanaoandaliwa kuchukua majukumu kwenye klabu ya Barcelona miaka michache ijayo.

Hapa kuna chini kuna video ambayo inaonesha vijana wawili ambao wanatabiriwa kuwa ndiyo Messi na Neymar wa baadae kutokana na uwezo wanaouonesha kwenye timu ya watoto ya Barcelona.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here