Home Kimataifa LIONEL MESSI ANATUMIA KIFAA MAARUFU KUPONA HARAKA…KINAITWA “GAME READY”

LIONEL MESSI ANATUMIA KIFAA MAARUFU KUPONA HARAKA…KINAITWA “GAME READY”

575
0
SHARE

cover

Hali tete ya Barcelona labda inaweza isiwe ya muda mrefu kwasababu mkali wao Lionel Messi anatumia kifaa special kwa ajili ya kutibu mguu wake. Kifaa hicho kimepitishwa na madaktari bingwa wa michezo kwa kutibu haraka jeraha kama alilopata Messi.

Messi anategemewa kupunguza siku za kukaa nje kutoka wiki 8 ambazo ndizo zilitajwa mwanzoni hadi chache zaidi ya hizo. Kifaa hiki kinatumika sana jeshini hasa kwa wanajeshi wanaopata matatizo wakiwa kwenye kazi au vitani.

Unaambiwa kwa wastani kati ya wachezaji 80 hadi 100 wanatumia kifaa hiki kila mwaka kwa ajili ya kupunguza muda wa kukaa nje wakipata matatizo.Kifaa hiki kinawezwa kuazimwa kwa gharama ya pound 300 kwa mwezi huko Ulaya.

2D331B5C00000578-3265028-image-a-93_1444313393965

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here