Home Kimataifa STAR WA REAL MADRID HAJAPENDA JINSI ANAVYOTOLEWA UWANJANI MARA NYINGI NA BENITEZ

STAR WA REAL MADRID HAJAPENDA JINSI ANAVYOTOLEWA UWANJANI MARA NYINGI NA BENITEZ

700
0
SHARE

_83268686_benitez_ap
“Kutolewa nje ni maamuzi ya kocha na mimi nipo hapa kusaidia timu yangu. Ni kweli nimechoka kutolewa nje. Lakini mimi natulia naendelea kufanya kazi kwa bidii ili nisitolewe tena, kwenye mechi alinitoa nje kwa ajili ya kuimalisha ulinzi ili tupate matokeo mazuri. Siku zote vibao vinaonyesha namba 9 ambayo ni yangu tu”.

Aliyesema mambo hayo yote ni Karim Benzema wa Real Madrid akizungumzia ishu ya yeye kutolewa nje mara nyingi na kocha Benitez. Licha ya kujitahidi kutupia magoli nyavuni lakini bado anaendelea kutolewa.

Mara nyingi mastaa kama Benzema huwa wanataka kucheza dakika 90 zote za mchezo. Kutolewa nje kwake ni kama dharau kubwa lakini ndio hivyo majukumu ya kocha hayapigwi. Sasa hivi sasa kama alivyosema anaendelea kufanya kazi kwa bidii ili asitolewe tena kwa sub

benezema

Unadhani Benitez ataisaidia Real Madrid kuchukua ubingwa msimu huu. Fuatilia La Liga kupitia Azam TV na jibu tutalipa mwishoni mwa msimu huu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here