Home Kimataifa PICHA ZA BRANDAN RODGERS ALIVYOSEPA NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUTIMULIWA LIVERPOOL.

PICHA ZA BRANDAN RODGERS ALIVYOSEPA NA FAMILIA YAKE BAADA YA KUTIMULIWA LIVERPOOL.

499
0
SHARE

2D1DEBC900000578-3260454-image-m-42_1444057158201

Brendan Rodgers amepigwa picha akiwa airport na familia yake ambayo ni mtoto wake pamoja na mchumba wake. Rogders aliondoka Liverpool na ndege binafsi siku ya Jumatatu asubui na kufika Malaga Hispania muda mchache baadae.

Rodgers alijulishwa kupitia simu na mmiliki wa kampuni ya Fenway Sports Group Mike Gordon ambae ni rais wa kampuni hiyo. Hizi ni picha za kwanza ambazo amepigwa Brendan baada ya kufukuzwa kazi.

2D1DEABE00000578-3260454-image-m-40_1444056921063

2D1DEAFE00000578-3260454-image-a-18_1444056226671

2D1DEB0600000578-3260454-image-m-38_1444056852112

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here