Home Kimataifa KAKA YAKE MESSI AKAMATWA NA POLISI KWA SABABU HII

KAKA YAKE MESSI AKAMATWA NA POLISI KWA SABABU HII

542
0
SHARE

Capture
Wakati mdogo wake anauguza jeraha kabla ya kurudi uwanjani kuisaidia timu yake, kaka yake anaitwa Matias Messi amekamatwa na pistol hivi sasa kesi ipo polisi.

Kaka huyo ambae ana miaka 33 alifuatiliwa baada ya kuhusika na fujo ambazo zilipelekea kupata jeraha juu ya jicho lake. Kukutwa na pistol hiyo kumekua tatizo kubwa kutokana na kwamba hana leseni sahihi ya kumiliki hiyo pistol. Kesi ipo tayari dhidi yake na mambo mengine yataendelea huko Argentina

Familia yao ina majanga sana kwasababu Messi na baba yake wote wana kesi ya kukwepa kodi huko Hispania na kaka yake ana kesi ya kukutwa na pistol huko kwao Argentina.

lionel-messi-1024x549

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here