Home Kimataifa WENGER ATISHIA KUSUSIA MKUTANO NA WAANDISHI KISA SWALI HILI…

WENGER ATISHIA KUSUSIA MKUTANO NA WAANDISHI KISA SWALI HILI…

697
0
SHARE

sdsfgdh

Kocha wa Arsenal alikua kwenye mkutano na waandishi wa habari kama ilivyo kawaida ya makocha mbalimbali kuongea na vyombo vya habari. Sasa Wenger alisema sentensi kali kwa mwandishi mmoja wa habari na kusema “Achana na hiyo story au namaliza huu mkutano”

Interview ilikua hivi
Mwandishi : Baada ya mechi ulisema kwamba hauwezi kujibu kwa watu kuhusu uchaguzi wako wa timu…unadhani unatakiwa kujibu na kama sio wewe nani mwingine
Wenger : Ninatakiwa kuongelea matokeo ya timu yangu na njisi inavyocheza na sio vingine. Unadhani natakiwa kuwa na majibu kwa mashabiki kuhusu uchaguzi wangu. Nadhani nimeshakupa jibu.
Mwandishi: Unadhani kama hauwezi kutoa jibu juu ya hilo unakamilisha sentensi ya Jose Mourinho kwamba manager pekee ambae hana pressure ni wewe.
Wenger : Sikiliza..Achana na hizo story au namaliza mkutano huu sasa hivi.

Arsenal wana mechi ngumu na Manchester united weekend hii ambapo kila timu inataka kushinda.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here