Home Dauda TV VIDEO: INTERVIEW YA RONARDO BAADA YA KUFIKIA REKODI YA RAUL NA KUWEKA...

VIDEO: INTERVIEW YA RONARDO BAADA YA KUFIKIA REKODI YA RAUL NA KUWEKA REKODI MAGOLI 500

2742
0
SHARE

CR7 video

Jumatano iliyopita Cristiano Ronaldo alifikia rekodi ya Raul Gonzalez ya kuwa mfungaji bora wa muda wote ndani klabu ya Real Madrid katika ushindi wa magoli 2-0 dhidi ya Malmo.

Ronaldo amefikisha magoli 323 katika klabu ya Real Madrid huku akifikisha magoli 501 katika maisha yake ya soka.

“Ni mafanikio makubwa na ninafuraha na nijajifunia sana kufikia rekodi hii kwa Real Madrid ni kitu kizuri kushinda maana jambo kubwa muhimu ni kushinda na kwa sasa tuana alama sita na tunaongoza kundi kwahiyo tunafuraha”, alisema Ronaldo. 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here