Home Kimataifa NEYMAR KATIMIZA MOJA YA NDOGO YAKE YA UTOTONI…WEWE JE?

NEYMAR KATIMIZA MOJA YA NDOGO YAKE YA UTOTONI…WEWE JE?

920
0
SHARE

dsfsf

Wonder boy Neymar amecheza soka tangu akiwa mtoto hadi leo akiwa na malengo ya kutimiza ndoto zake. Moja ya ndoto hizo ni kumiliki gari la kifahari aina ya Ferrari 485 Spider.

Hatimaye ametimiza kwa kulinunua gari hilo la kifahari na furaha imemzidi hadi ameamua kuli-post kwenye instagram. Neymar anajulikana kwa kupenda maisha ya kifahari na pesa pia inamruhusu. Gari hilo lina thamani ya £200,000. Alivyo-post aliandika, “Thank you God for giving me health, and with the fruit of my labour I fulfill another childhood dream!”

cvsd

Mchongo wote wa mtonyo wa kununua gari kama hili umeanzia kwenye La Liga. Umaarufu wote ameupata kwenye soka na ukitaka kuona manjonjo yanayompa hizo pesa, jiunge na Azam TV kumuona huyu jamaa akifanya yake.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here