Home Kimataifa DANIEL ALVES AMPIGA KIWEMBE NEYMAR HADI WATU WAMECHUKIA

DANIEL ALVES AMPIGA KIWEMBE NEYMAR HADI WATU WAMECHUKIA

966
0
SHARE

ney

Kwenye La Liga yanayotokea ni zaidi ya soka na magoli, hili nalo ni jipya limetokea kwenye ligi ya Hispania na kuwahushisha mastaa wawili Neymar na Daniel Alves. Wote wawili hawa wapo kwenye La Liga inayoonekana kupitia Azam TV…twende kwenye story kamili sasa.

Kila mtu amezoea kumuona Neymar akiwa na nywere zake ndefu ambazo zimekua kama icon yake. Lakini hivi Neymar amewashtua watu ambao walikua wanamuangalia baada ya kuingia uwanjani akiwa amenyoa nywere zake.

Sasa story kamili ni kwamba Daniel Alves ndie aliyemnyoa Neymar wakiwa changing room. Habari zaidi ni kwamba hadi wadhamini wa Neymar hawajafurahishwa kwenye muonekano wa mchezaji huyo. Inasemekana kuna project mpya ambazo ilibidi ashiriki na wanaona kwamba muonekano huu wa sasa sio mzuri. Baadhi ya wadhamini wa Neymar ni Gillette na Poker Stars.

dfs

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here