Home Kimataifa BAADA YA MECHI ZA JANA, MSIMAMO MPYA WA EPL UKO HIVI…

BAADA YA MECHI ZA JANA, MSIMAMO MPYA WA EPL UKO HIVI…

1696
0
SHARE

EPL logoMichezo ya raundi ya sita ya ligi kuu nchini England maarufu kama EPL imemalizika jana Jumapili (jana) ambapo ilipigwa michezo mitatu. Manchester United wakiwa ugenini wakaibuka na ushindi wa goli 3-2 dhidi ya Southampton, Tottenham wakapata ushindi wa nyumbani mbele ya Crystal Palace wakati Manchester City wakapata kipondo cha kwanza cha goli 2-1 kutoka kwa West Ham United wakiwa kwenye uwanja wao wa Etihad.

Baada ya michezo hiyo kumalizika, msimamo wa ligi hiyo unaonekana hivi; 

Msimamo EPL

Msimamo EPL 1

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here