Home Kimataifa TOFAUTI YA LIVEROOL YA SASA NA ILE YA ENZI HIZO, HAYA NDIO...

TOFAUTI YA LIVEROOL YA SASA NA ILE YA ENZI HIZO, HAYA NDIO INAKOSA TIMU YA SASA…

531
0
SHARE

AC Milan vs Liverpool

Nicasius Coutinho Suso

Riise, blocked by Cafu, into is Gerraaarrrrd. Hello hello here we go, Steven Gerrard puts a grain of doubts in the back of Milan minds and gives hope to all of many thousands of Liverpool fans inside the stadium. CAPTAIN’S GOAL

Xabi Alonso, Hamman, Hit by smiceeeerrrrr, it’s in, it’s in Vladmir smicer. Two goals in two minutes for Liverpool ….. Miracles are possible. Unbelievable staff, it real is. Good passion

Carragher into Baros, into Gerrarrrd oooohh is held. He’s given a penalty. He has given the penalty…….. he has picked Liverpool up by the scruff of the Neck, in this second half and brought back Liverpool into the game. 

There’s no red card but it’s the Spanish on the ball. Step up Xabi Alonso, with the chance to equalize, yes equalize for Liverpool.

Oooohhh saved by Dida, Xabi Alonsooooo and mission Impossible is accomplished.  Liverpool were 3 nil down five minutes ago, and now look at that score line. Dida have been beaten three times and Liverpool are on terms …..

Shevchenko to take the last spot. All the Milan’s across the world on his shoulders, ooohh dudekkkk, and it’s all over. The trophy is back to England and in Anfield..

Soma maneno hayo, aliyekuwa mkubwa kipindi hicho ataelewa Liverpool, ilikuwaje, roho za mashabiki zilikuwaje. Siku hii mashabiki walikuwa wanaimba ndani ya uwanja na duniani kote, walishika kichwa pamoja, walilia pamoja na kushangilia pamoja.

Hii ilikuwa Liverpool mbovu zaidi kuchukua ubingwa. Kipindi hiki lile neno YNWA ndio lilikuwa linatumika kwa usahihi zaidi. Sio sasa hivi mchezaji aliye kwa mkopo kutoka uarabuni anaonekana Messi pale Anfield anaitwa Lanzini. Hapa hata mtangazaji alikuwa anaifeel ile nguvu ya ushabiki ya Liverpool. Ukitaka kujua kwanini Henry na Simao Sabrosa walitamani kulala uwanjani mle, katafute maana yake.

Siku hizi mashabiki wanaimba huku wana Bavaria mkononi, na red bull. Hiki kipindi kama ni mlevi lewa masaa mawili kabla ya mchezo, lewa mpaka na za kesho yake we kunywa, ukifika uwanjani kilevi chako ni Liverpool, kama ni mlafi hivyohivyo. Mara ya mwisho hizi zama zilitokea miaka ya 2009, zilipopotea Suarez akazirejesha mwaka 2013 kwa lazima. Sasa hivi unawaza Sturridge na Jordon Ibe ndio wafanye hiyo kazi, kwa Gerrard wamempa Milner au Henderson, na eti kazi ya Carragher na Sami Hypia anafanya Lovren na miguu ya Riise wanamvisha Gomez kwa lazima, sina maana ya uwezo, hapana huko hawajafika kabisa, lakini hata roho ya Liverpool hawana.

 Kuna wale ndugu zangu watahoji huoni kazi ya Hendo na Milner, na mimi nitawajibu Coutinho pekee ndio anajaribu walau moja ya kumi ya alichojaribu Gerrard na kufanikiwa. Inauma sema,nisiwakatishe moyo, yupo Genius Rodgers.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here