Home Kimataifa JE, MEMPHIS DEPAY ATASHAGILIA AKIIFUNGA CLUB YAKE YA ZAMANI PSV USIKU LEO?...

JE, MEMPHIS DEPAY ATASHAGILIA AKIIFUNGA CLUB YAKE YA ZAMANI PSV USIKU LEO? JIBU HILI HAPA

418
0
SHARE

2C504F8900000578-0-image-a-154_1442256167300

Memphis Depay anakubali kwamba bado ana mambo mengi ya kujifunza kwenye EPL, ameyasema hayo akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari kabla mechi ya leo usiku dhidi ya PSV.

Depay anasema kwamba “Ni experience mpya kwangu kucheza kwenye EPL kwa hiyo nahitaji kuendelea kuongeza uwezo wangu. Nadhani reaction yangu baada ya kubadilishwa uwanjani ni nzuri, nafikilia sana kuhusu huilo ili niweze kuogeza nguvu kwenye mazoezi niwe vizuri kwenye mechi zinazoendelea. Nimejifunza mengi lakini nahitaji kujifunza mengi, EPL ni level kubwa ya mashindano.”

Alipoulizwa kwamba kama ata shangilia kama akifunga goli kwenye mechi dhidi ya PSV alisema,“Watu wengi wananiuliza hilo swali lakini huu bado ni mchezo kwa hiyo nitashangilia kama nikifunga goli au mwenzangu akifunga goli, ninaiheshimu PSV lakini nachezea Manchester united sasa hivi. Nilikuwepo hapa kwa miaka 10 iliyopita kabla sijaja Manchester united, ni feeling nzuri kwangu kuona leo nacheza dhidi ya marafiki zangu wa zamani.”

2C50476200000578-0-image-a-146_1442255859593

2C507A5800000578-0-image-a-148_1442255873210

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here