Home Kimataifa JANUZAJ ATUMA SALAMU ZA POLE KWA LUKE SHAW

JANUZAJ ATUMA SALAMU ZA POLE KWA LUKE SHAW

405
0
SHARE

Adnan Januzaj akionesha jezi aliyokabidhiwa atakayoivaa akiwa Borussia Dortmund

Mchezaji wa Manchester United anaekipga Borussia Dortmund kwa mkopo wa muda mrefu Adnan Januzaj ni miongoni mwa watu waliotuma salamu zao za pole kwa mchezaji wa Manchester United Luke Shaw aliyeumia wakati akiitumikia klabu yake kwenye mchezo wa UEFA Champions League dhidi ya PSV.

Januzaj Adnan

Januzaj ameandika kwenye akaunti yake ya Twitter kumtakia kila la kheri Luke Shaw huku akisema nyota huyo atapona na kurejea kwenye ubora wake ikiwezekana hata kuliko aliokuwa nao kabla ya kuumia

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here