Home Kimataifa SIR ALEX FERGUSON AELEZEA JINSI ROONEY ALIVYOKUA ANAITOSA MAN UNITED MARA MBILI...

SIR ALEX FERGUSON AELEZEA JINSI ROONEY ALIVYOKUA ANAITOSA MAN UNITED MARA MBILI KABLA YA KUSAJILIWA

472
0
SHARE

Capture

Sir Alex Ferguson alisajili Wayne Rooney kutoka Everton na kuisaidia club hiyo kufanikiwa kuchuka mataji mengi. Lakini habari ikufikie kwamba Rooney ilibidi asajiliwe tangu akiwa na miaka 14 hadi 16.

Sir Alex anasema kwamba Rooney amesema kwamba Rooney alikua na mapenzi makubwa na Everton ndio maana alikua anapotezea ofa ya kusajiliwa na Manchester united.

Tangu aanze kupewa ofa na Manchester United alikataa kusajili na hadi miaka minne baadae ndio alikubali ofa ya kujiunga na Manchester united kwa ada ya £26m.

Sir Alex alisema, “Jim Ryan alikuja kutoka kwenye moja ya mechi za academy yetu level ya miaka 14 na kusema nimemuona mchezaji. Mchezaji huyo alikua ni Wayne Rooney na kwasababu kulikua na dirisha la usajili linakaribia tukasema tutamsajili ajiunge kwenye academy yetu lakini alikataa na akataka kubaki Everton. Wakati ule alikua shabiki wa Everton na alitaka kubaki pale. Alivyofikisha miaka 16 tulijaribu tena lakini tulishindwa tena “

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here