Home Kimataifa HIZI NDIZO CLUB ZILIZOTUMIA PESA NYINGI KUSAJILI KWENYE EPL…JE, ZITAWALIPA MCHEZONI???

HIZI NDIZO CLUB ZILIZOTUMIA PESA NYINGI KUSAJILI KWENYE EPL…JE, ZITAWALIPA MCHEZONI???

581
0
SHARE

RHZuXRGeRmHuksN2M7Mg_Swanson

Unaambiwa kipindi hiki cha usajili ndio kimevunja rekodi ya kutumia pesa nyingi zaidi ukiacha miaka iliyopita. Ishu ni kwamba usajili mkubwa haumaanishi ndio ubingwa upo mezani, lakini kwa kiasi kikubwa inachangia.

Manchester city imefanya usajili wa nguvu sana na inaongoza kwenye hii list. Matunda ya usajili wao umeanza kuoneka mwanzo wa ligi na wamepata matokeo mazuri. Lakini ligi ya uingereza haiwezi kutabirika mapema tusubiri hadi hapo baadae.

Hii hapa ni list ya club za EPL kwa pesa walizozitumia kwenye usajili. Listi imepangwa kutokana na net spend ambayo ni tofauti kati ya pesa zilizotumiaka toa pesa zilizopokewa.

chati

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here