Home Kimataifa CHICHARITO AMETOA SABABU ZA ZILIZOMVUTIA KUJIUNGA NA LEVERKUSEN

CHICHARITO AMETOA SABABU ZA ZILIZOMVUTIA KUJIUNGA NA LEVERKUSEN

557
0
SHARE

chicha
Javier Hernandez amesajiliwa na club ya Bayer Leverkusen kwa gharaa ambayo inakadiriwa kuwa ni karibia £7.3million. Mchezaji huyo rais wa Mexico akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari alitoa sababu iliyomfanya hadi amehama Manchester united.

Chicharito amesema “Bayer imenifanya nijiskie nina umuhimu na ninapendwa hapa kwa hiyo hayakua ni maamuzi magumu kufanya. Wamenifanya nijiskia kwamba nahitajiaka hapa”.

Javier Hernandez mwenye miaka 27 amesema kwamba yupo tayari kusaidia kikosi hicho kwenye mbio za mafanikio yao. “Najiskia kuwa na majukumu hapa na ninayapenda kutoka moyoni na yapo kichwan pia. Nahitaji kusaidia ili tuweze kushinda vitu muhimu pamoja”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here