Home Dauda TV TFF NA MIPANGO KABAMBE YA SOKA LA VIJANA

TFF NA MIPANGO KABAMBE YA SOKA LA VIJANA

383
0
SHARE

Katika mipango kabambe ya kuliendeleza soka la tanzania ili lifike mbali na ikiwezekana tushiriki kombe la dunia mwaka 2026.basi shirikisho hilo limejipanga kweli kweli kuhakikisha wanafanikisha hilo,kwa kuanza wameteua vijana watano wenye vipaji na kuwatafutia nafasi katika akademi ya Orlando pirates ya afrika ya kusini ili waweze kufikia kiwango cha dunia na pia wameanza ushirikiano na akademi ya Allance ya Mwanza.
Hapa chini Raisi wa TFF Jamal Malinzi anaelezea kila kitu.pamoja na baadi ya vijana waliochaguliwa kwenda academy ya mwanza wakitoa shukran zao.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here