Home Kimataifa RAHEEM STERLING AFANYA TUKIO HILI LICHA YA KUKAZIWA NA MAASKARI

RAHEEM STERLING AFANYA TUKIO HILI LICHA YA KUKAZIWA NA MAASKARI

307
0
SHARE
2B41A2CC00000578-0-image-a-1_1439245155817
Raheem Sterling alipoteza nafasi nzuri ya kufunga dhidi ya West Brom,lakini bado ndiye alikuwa mchezaji bora wa mechi ambaye aliwavutia mashabiki wa Manchester City.
Kufuatia timu yake kuanza ligi ya England kwa ushindi wa 3-0 ugenini, Sterling aliyesajiliwa kwa paundi milioni 49 kutokea Livrpool, alienda eneo la mashabiki ili kuwapatia jezi yake aliyotumia kwenye mechi hiyo.
Sterling aliwapuuza walinzi wa uwajani na kuwachagua mashabiki wawili ili awapatie jezi.
Mashabiki hao walionekana kuwa na furaha kubwa zaidi na
Sterling akaelekea moja kwa moja katika vyumba vya kubadilishia nguo ambako walishangilia pia ushindi huo mnono.
The former Liverpool man jumps the hoardings as he looks to give a lucky fan the chance to have his shirt
Nyota wa zamani wa Liverpool akiruka uzio wa matangazo ya uwanjani  kwenda kuwapatia jezi mashabiki 
The Manchester City fans watch on as Sterling ventures towards them at the Hawthorns Stadium on Monday
Mashabiki wa Manchester City wakimtazama kwa ukaribu Sterling 
Kocha wa Man City, Manuel Pellegrini ana matumaini kwamba Sterling ataendelea kuonesha kiwango kikubwa kwenye mechi inayofuata dhidi ya Chelsea ambayo itapigwa Etihad.
Mchile huyo alisema: “Sijakatishwa tamaa na nafasi aliyopoteza kwasababu Raheem alicheza vizuri ndani ya dakika 70”.
“Sio rahisi kucheza mfumo mpya na wachezaji wapya, alifanya kazi nzuri na alipata nafasi nzuri”
“Kama ataendelea kucheza hivi, nina uhakika atakuwa aina ya mchezaji tuliyemnunua”
Two very lucky Manchester City fans show off their beaming smiles and their new prized possession 
Wawili hawa wana bahati sana. 
Two young Manchester City fans show off their new possession after Sterling gives them his match-worn shirt

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here