Home Kimataifa WENGER AMESEMA HIVI KUHUSU KARIM BENZEMA

WENGER AMESEMA HIVI KUHUSU KARIM BENZEMA

845
0
SHARE

wenger

Kiu kubwa kwa mashabiki wa Arsenal hivi sasa ni pamoja na kutaka kujua hatma ya club yao kumsajili Karim Benzema. Siku chache zilizopita Henry alisema kwamba Benzema anaweza kusaidia sana Arsenal kwenye harakati zake za kuchukua ubingwa wa EPL.

Kwenye mkutano na waandishi wa habari manager wa Arsenal alisema hivi. “Namuheshimu sana Thierry Henry kwa maarufa ya kutosha aliyokua nayo kuhusu soka lakini mahesabu ya mpira hayapo kiivyo. Inatakiwa tuangalia mchezo kama jukumu ya timu nzima sio mtu mmoja tu kufunga magoli.”

Kiufupi ni kwamba Wenger hajazungumzia chochote kuhusu uhamisho wa Benzema labda kuja Arsenal lakini amesisitiza kwamba kufunga magoli ni jukumu la timu nzima. Sio kuja kumtengemea mtu mmoja kama Benzema watu wengi wanavyofikiria. Hiyo haitasaidia timu kwasababu kama siku akiwa majeruhi hakutakua na mfungani tena. Tofauti na timu nzima iki-develop mfumo wa ufungaji haita athiri timu wakati wowote. Hayo ndio mahesabu ya Arsene Wenger.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here