Home Kimataifa RAFAEL BENITEZ KASEMA…HAKUNA MCHEZAJI WAKE STAR ANAEONDOKA KIPINDI HIKI

RAFAEL BENITEZ KASEMA…HAKUNA MCHEZAJI WAKE STAR ANAEONDOKA KIPINDI HIKI

506
0
SHARE

2B12233500000578-0-image-a-17_1438768567659

Wakati Manchester na Arsenal wakiwa kwenye harakati zao za kutaka kuwasajili Ramos na Benzema, Coach Benitez amewafunga midomo na kusema kwamba hakuna star wake yeyote atakeondoka kwenye club hiyo kipindi hiki cha usajili.

Benitez amesisitiza kwamba club yake ina interest ya kusaini wachezaji zaidi ya kuwauza kwa kipindi hiki. Kama Karim Benzema na Sergio Ramos ambao wanazungumziwa sana kuhamia EPL, hao ni mastaa na watu muhimu kwenye kikosi chake kwa hiyo hawataruhusiwa kuhama club hiyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here