Home Kitaifa MURO, JULIO, MATOKEO YAO YA UBUNGE NA UDIWANI HAYA HAPA…

MURO, JULIO, MATOKEO YAO YA UBUNGE NA UDIWANI HAYA HAPA…

687
0
SHARE

MuroKocha wa Mwadui FC ya Shinyanga Jamhuri Kihwelo ‘Julio’ ameangukia pua kwenye kura za maoni kuwania kuteuliwa kuwania nafasi ya Udiwani wa kata ya Kigogo kupitia Chama Cha Mapinduzi baada ya kumaliza akiwa nafasi ya tatu kwenye kinyang’anyiro hicho.

“Nimemaliza mtu wa tatu katika kura za maoni kata ya Kigogo na hiyo siyo maana nimeshindwa kwasababu kawaida ya CCM baada ya kura za maoni majina yanapelekwa Wilayani na baadae Mkoani ili kupitia jina la kila mmoja ili kuona yupi anafaaili aweze kwenda lakini kwa jinsi ambavyo Julio Alberto sikufanya kampeni za kupita nyumba kwa nyumba kwasababu mimi sera yangu sitaki rushwa”.

JULIO anagombea udiwani kata ya Kigogo! Msikilize hapa

Wanamichezo wengine ambao kura hazikutosha ni pamoja na Afisa habari wa Yanga Jerry Muro na Abdalla Idirisa Majura waliokuwa wakiwania kuteuliwa na chama chao kuwania Ubunge wa jimbo la Kawe.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here