Home Dauda TV #TOROKA UJE# MWENYE JINA HUYU HAPA KAJIPANGA NA UJIO MPYA WA KUSHINDA...

#TOROKA UJE# MWENYE JINA HUYU HAPA KAJIPANGA NA UJIO MPYA WA KUSHINDA TAJI LA USHANGILIAJI BORA CHECK MAMBO YAKE HAPA.

413
0
SHARE

Mashindano ya Sportextra ndondo cup yamezidi kushika kasi na kuteka hisia za watu mbalimbali lakini mashindano haya yana watu wake maalumu ambao ndio kama nembo katika ushangiliaji.Toroka uje ndio kauli mbiu ya mashindano msimu huu lakini je muasisi wa jina hilo wamjua sasa nimekuletea mtu huyo hapa ,nimekuawekea  video yake hapa jionee mwenyewe kwa kubofya hapo chini.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here