Home Kitaifa OFFICIAL: RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ ASAINI AZAM FC

OFFICIAL: RAMADHAN SINGANO ‘MESSI’ ASAINI AZAM FC

693
0
SHARE

2

Siku moja baada ya Shirikisho la soka Tanzania, TFF kutangaza kuvunja rasmi mkataba wa Ramadhan Singano ‘Messi’ na klabu yake ya Simba, winga huyo amesaini mkataba na Azam fc.

Ramadhan Singano ‘Messi’ leo amesaini mkataba wa miaka miwili katika klabu ya Azam FC, ikiwa ni siku mbili tu baada ya Shirikisho la soka nchini TFF kupitia kamati ya Maadili na Hadhi za wachezaji kuvunja mkataba wake na klabu ya Simba.

Messi ataungana na wenzake katika mazoezi ya Azam FC yanayofanyika chini ya Mwingereza, Stewart Hall.

1  3 5

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here