Home Kimataifa ARSENAL WATETEA UBINGWA WA FA NA KUANDIKA HISTORIA HII…..

ARSENAL WATETEA UBINGWA WA FA NA KUANDIKA HISTORIA HII…..

735
0
SHARE
arsenal
ARSENAL wamefanikiwa kutwaa ubingwa wa kombe la FA baada ya kuichapa Aston Villa magoli 4-0 katika mechi ya fainali iliyomalizika usiku huu uwanja wa Emirates.
Vijana hao wa Arsene Wenger wameweza kutetea kombe lao la FA baada ya kutwaa tena msimu uliopita.
Arsenal inakuwa timu ya kwanza kihistoria England kutwaa kombe la FA kwa mara ya 12 .
Theo Walcott thought he'd done enough to give Arsenal the lead with this close range effort before Kieran Richardson's (left) block
Theo Walcotti alikuwa wa kwanza kuifungia Arsenal goli la kuongoza katika dakika ya 40.
Dakika ya 50, Alexis Sanchez aliandika goli la pili, kabla ya Per Mertesacker kufunga la tatu dakika ya 62′.
Olivier Giroud alihitimisha karamu ya magoli kufuatia kutia kimiani goli la nne katika dakika ya 90.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here