Home Kitaifa Wakati TFF wanaijadili Taifa Stars Madagascar wanaikabili Ghana leo robo fainali

Wakati TFF wanaijadili Taifa Stars Madagascar wanaikabili Ghana leo robo fainali

294
0
SHARE
B15ETMN0137
Madagascar wanacheza na Ghana
ROBO fainali ya michuano ya nchi za kusini kwa Afrika, Cosafa inaanza kutimua vumbi leo mei 24 mwaka huu.
Mechi ya kwanza itapigwa uwanja wa Moruleng kuanzia majira ya saa 9:00 alasiri kwa saa za Afrika kusini sawa na saa 10:00 jioni kwa saa za Tanzania ambapo Ghana watachuana na Madagascar waliokuwa vinara wa kundi B.
Madagascar wamefika hatua hiyo baada ya kuzishinda nchi za Swaziland, Lesotho na Tanzania katika hatua ya awali ya makundi.
Mechi ya pili itawakutanisha Msumbiji na Malawi katika uwanja huo huo majira ya saa 11:30 jioni sawa na saa 12:30 jioni kwa saa za Afrika mashariki.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here