Home Kitaifa Ndanda wamsainisha mkataba mchezaji bila kipengele cha mshahara, waamuriwa kumlipa mara moja!

Ndanda wamsainisha mkataba mchezaji bila kipengele cha mshahara, waamuriwa kumlipa mara moja!

308
0
SHARE
IMG-20140913-WA0031
Klabu ya Ndanda SC imeamuriwa kumlipa mchezaji Amiri S. Msumi kiasi cha fedha sh. 2,600,000.
 Pia Kamati ilihoji mkataba kutokuwa na kipengele cha mshahara, na kusema ni lazima mkataba uonyeshe Kiasi ambacho mwajiriwa analipwa.
Pia Kamati imeagiza kuwa vilabu vifahamishwe kuwa fedha ya kusaini mkataba (sign on fee) hazitakiwi kulipwa kwa mafungu. Tafsiri ya fedha ya kusaini, ni mchezaji kulipwa fedha yote baada ya kusaini, na si kwa mafungu. Pamoja na uamuzi huo, Katibu Mkuu wa Ndanda SC ametakiwa kuwepo kwenye kikao cha Mei 3, 2015.
Malalamiko mengine yataendelea kusikilizwa na Kamati ya Sheria na Hadhi za Wachezaji Mei 3, mwaka huu.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here