Home Entertainment CHEKA NA VIDEO YA COMEDIAN ERIC OMONDI…AMEIGA VIDEO YA DIAMOND NASEMA NAWE.

CHEKA NA VIDEO YA COMEDIAN ERIC OMONDI…AMEIGA VIDEO YA DIAMOND NASEMA NAWE.

973
0
SHARE

eric omondiEric Omondi ni mchekeshaji maarufu kama sio namba moja kwenye kizazi cha sasa cha comedian wa kule Kenya. Eric Omondi ana urafiki na msanii Diamond Platinumz na sasa hivi ametoa version yake ya video ya Nasema nawe, Omondi ameiita Nabeba Mawe. Cheka kidogo na huyu jamaa kutoka Kenya.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here