Home Kimataifa SOMA MANENO ALIYOSEMA MIKEL ARTETA KUHUSU KUSAINI MKATABA MPYA NA ARSENAL

SOMA MANENO ALIYOSEMA MIKEL ARTETA KUHUSU KUSAINI MKATABA MPYA NA ARSENAL

792
0
SHARE

dsfgdchgjgklKwanza kabisa Mikel Arteta ambaye ana miaka 33 atakosa mechi ya nusu fainali ya FA Cup itakayofanyika Wembley akiwa anaendelea ku-recover kutokana na jeraha la ankle.

Captain wa Arsenal Mikel Arteta licha ya kuwa atakosa mechi ya nusu fainali ya kombe la FA kwenye nusu fainali lakini bado ana hamu kubwa ya kuendelea kuitumikia Arsenal.

Mike Arteta anategemea kuongeza mkataba wake kwa muda wa miezi 12 ifikapo mwezi watano.Arteta alisema ,“Lengo langu ni kuwa fit na kufanya vizuri uwanjani. Kama nikifanya hivyo najua nitaendelea kuwepo kwenye mechi hii. Kama nisipofanya hivyo sitakua hapa kwenye hii club. Ikifika mwezi wa tano kila kitu kitakua sawa, tutakaa chini na itachukua dakika tano tu”

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here