Home Kimataifa KABLA HAUJA BET MKEKA WAKO WA MANCHESTER VS CHELSEA…SOMA HII KWANZA.

KABLA HAUJA BET MKEKA WAKO WA MANCHESTER VS CHELSEA…SOMA HII KWANZA.

3675
3
SHARE

dsd

Najua watu wengi mnataka kuweka mizigo au tayari mshaweka mizigo kwenye mechi kati ya Manchester Vs Chelsea. Mwisho wa game lazima watu wacheke wengine walie kwenye ishu nzima ya mikeka. Sasa kabla hauja weka mzigo sehemu yoyote fatilia hii story then changanya na akili zako weka mzigo.

Huyu jamaa anaitwa Paul Merson ni mchezaji wa zamani wa ligi ya uingereza na ameshacheza timu kama Arsenal, Aston Villa na nyingine. Kwenye mechi kumi zilizopita ametabili zote na amepatia 9 na mechi nne kati ya hizo amepatia hadi matokeo.

Sasa the magic man kwenye mechi hii ya Chelsea vs Manchester ameendeleza utabili wake na anasema kwamba watatoka suluhu ya 1-1. “I think this will be a tight game and I can see it finishing in a 1-1 draw. Chelsea will definitely settle for that!”

Haya ni mawazo ya bwana mtabiri Magic Man Paul Merson changanya na yako then fanya yako.

ee

 

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here