Home Entertainment Mastaa wengine wa Bongo Fleva waliopata account ya Vevo 2015

Mastaa wengine wa Bongo Fleva waliopata account ya Vevo 2015

748
0
SHARE

Vevo-222

Baada ya Rose Muhando, Gosby , na Vanessa Mdee kwa kufanikiwa kazi zao kukubalika kwenye mtandao wa Vevo na kupewa account hiyo ili wawe  wana hifadhi kazi zao, sasa time hii wamiliki wa mtandao huo wamekubali pia kazi za kundi la muziki linalofahamika kama Navy Kenzo linaloundwa na Aika & Nahreel ambapo Feb 11  waliweka video ya single yao iitwayo Moyoni.

Leo saa chache zilizopita kupitia Instagram Aika aliwahabarisha mashabiki wake kuhusiana na kupewa account hiyo na kuandika ‘Now u can catch moyoni at #VeVo#NavykenzoVevolink on bio’- @twitter

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here