Home Entertainment IYANYA KUTOKA NIGERIA AMEM-DISS JAGUAR WA KENYA KWA KUMUITA MVIVU

IYANYA KUTOKA NIGERIA AMEM-DISS JAGUAR WA KENYA KWA KUMUITA MVIVU

580
0
SHARE

jaguar

Mbali na wawili hao kufanya collabo ya pamoja kwenye ngoma ya Jaguar mwenyewe iitwayo “One centimeter rmx” akiwa amemshirikisha Iyanya kutoak Nigeria waliingia kwenye utata baada tu ya kutoa ngoma yao hiyo.Utata huo ulianza baaada ya kusambaa kwa video hiyo ambapo Jaguar alitaka ifike kimataifa lakini hakuonesha juhudi zozote za kui-push video hiyo.Iyanya alisema kwamba Jaguar ni mvivu wa kusukuma ngoma zake zifike kimataifa kama wengine wanavyofanya.Pia alisema hakuona Iyanya nimefanya collaboz na Diamond na Sauti soul laikini wao ndio wanao push ngoma zao kufika vituo mbali mbali lakini kwake Iyanya hafanyi hvyo kwani amekua akitegemea mimi ndio nifanye hivyo.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here