Home Kimataifa Balotelli Apigwa Chini Na Mpenzi Wake Naguesha

Balotelli Apigwa Chini Na Mpenzi Wake Naguesha

614
0
SHARE

balo

Imefahamika kwamba chanzo cha mwanamitindo wa kiitaliano Fanny Naguesha kumpiga chini aliyekuwa mchumba wake mchezaji wa Liverpool – Mario Balotelli ni kutokana na mwanasoka huyo kumkataza Naguesha kuendelea na modelling. Balotelli alimvalisha pete ya uchumba Naguesha wakati wa kombe la dunia mwaka jana nchini Brazil lakini uhusiano wao ukaishia njiani baada ya Balo kuingilia kazi ya mwenzie.

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here