Home Entertainment BABA WA MAREHEMU GEEZ MABOVO AMTENBELEA LAMAR KUSIKILIZA KAZI ALIZOACHA MWANAE

BABA WA MAREHEMU GEEZ MABOVO AMTENBELEA LAMAR KUSIKILIZA KAZI ALIZOACHA MWANAE

936
0
SHARE

lamar

 

Baba wa marehemu Geez mabovu mzee Ally amemtembelea producer Lamar kwenye studio yake jijini dar-es-salaam na kuzungumza nae kuhusu kazi zilizoachwa na mwanae katika mikono ya producer huyo

mmiliki wa studio ya  fish club lamar ameongea na shaffihdauda.co.tz kuwa geez mabovu aliacha  ngoma saba nazo zitatoka kwa njia ya album itakayo uzwa

Lamar:  nina mpango wa kuachia wimbo mmoja kutoka kwenye album hiyo.nyimbo zilivyo kamilika ni saba

najaribu kuangalia jinsi ya kuitoa album ambayo tutaweza kuiweka mkito

Comments

comments

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here